Hakuna lisilowezekana chini ya jua kikubwa ni kuwa na mtazamo thabiti na kuishi ndoto zako.
Simba sio mnyama mkubwa kuliko wote porini lakini ujasili wake na
uchapakazi unamfanya aongopwe nakuheshimika. Lakini zaidi ya hayo umoja
nikitu cha muhimu sana, wahenga usema "umoja ninguvu.." Hivo hivyo kwa
umoja wa mbweha ambao ni wanayama wadogo simba uhogopa hadi kujikojolea
akutanapo nakundi hilo na akipata upenyo ukimbia mbio za ajabu
kujinusuru. umasikini na kipato kisicho kidhi mahitaji yetu nitatizo
kwetu sote hivyo kupitia fursa hii tuungane kujiinua sote.
No comments:
Post a Comment